Awakumbusha usalama wa Raia na wakimbizi makambini Mkoa waKigoma akizungumza nao ktk nyakati toffauti wWazir Nchemba amesema nijukum la magerezam Polisi na Majeshi yote kujua ulinzi na usalama wa Raia na mali zai hata wakimbizi wa makambini wajulikane kama ni bina dam wana hitaji ulinzi na usaalma
Kupitia hali hii ya wakimbizi ni somo kwa
watu wetu kudumisha,kulinda na kutetea usalama hapa nchini Azungumza haya
waziri wa mambo ya ndani Mh mwigulu nchemba ktk ziara yake huko mkoani Kigoma
ktk kuangalia na kuboresha hali za wakimbizi hapa nchini
Azungumza na askari police, jeshi,magereza
kuhakikisha ulinzi mipakani na kuwataka wakimbizi kutoshiriki ktk masuala ya
ujambazi
No comments:
Post a Comment