AUWAWA KWA NYUNDO
:
Mwanamke
auawa kwa kupigwa nyundo kichwani na mumewe baada ya kuhoji kwanini mume
apigiwe simu na mwanamke mwingine usiku.
Akiongea
na mwandishi wetu kutoka mkoan humo kamanda wa polisi wa mkoa wa shinyanga
amesema baba huyo amempiga mke kwa kw anyundo kichwan baada ya mke huyo kuhoji
kwann wanawake humpigia mumewe huyo sim muda wa siku?
No comments:
Post a Comment