Wachimbaji wadogo wa dhahabu wa eneo la Nyaligongo kata ya Mwakitolyo
katika Halmashauri ya Shinyanga wameandamana na kupinga kauli ya
viongozi wa Serikali ya wilaya ya Shinyanga inayowataka waondoke katika
eneo hilo la Machimbo kabla ya tarehe 2/8/ mwaka huu ili kupisha
shughuli za uwekezaji hatua ambayo imechukuliwa kinyume na tofauti na
kauli za viongozi wengine wa serikali iliopita.
No comments:
Post a Comment