Tuesday, 16 August 2016

AMUUA MKEWE KWA NYUDO


Mwanamke auawa kwa kupigwa nyundo kichwani na mumewe baada ya kuhoji kwanini mume apigiwe simu na mwanamke mwingine usiku.
Akiongea na mwandishi wetu kutoka mkoan humo kamanda wa polisi wa mkoa wa shinyanga amesema baba huyo amempiga mke kwa kw anyundo kichwan baada ya mke huyo kuhoji kwann wanawake humpigia mumewe huyo sim muda wa siku?

No comments:

Post a Comment