Baada ya kutwaa
medali yake ya nane ya dhahabu ya mbio za mita 200, akitumia sekunde
19.78, mwanariadha wa Jamaica, Usain Bolt amejitangaza kuwa ndiye shujaa
asiye na mpinzani.
Katika mbio hizo, Bolt alifuatiwa na Andre de
Grassewa Canada, sekunde 20.02 na Mfaransa Christophe Lemaitre, sekunde
20.12 na kuweka rekodi ya kuwa mwanariadha wa pekee kushinda mbio hizo
mara tatu kwenye Olimpiki tangu mwaka 2004
No comments:
Post a Comment