Vuai amesema chama chake kimefadhaishwa sana na kuhuzunishwa na kitendo cha maalim Seif Sharif Hamad ambaye amewahi kuwa kiongozi waziri kiongozi wa Zanzibar kabla ya kurejeshwa kwa siasa za ushindani kushindwa kumpa mkono Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein walipokutana kwenye msiba wa Rais wa pili wa visiwa hivyo, Aboud Jumbe.
Saturday, 20 August 2016
MAALIM SEIF KUTOA ALIKWA KATIKA SHUGHULI ZA KISERIKALI
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai amesema ni wakati
mwafaka sasa kwa Serikali kumzuia Maalim Seif Sharif Hamad ambaye
alikuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kwenye Serikali ya umoja wa
kitaifa (SUK) kuhudhuria hafla za kitaifa
Vuai amesema chama chake kimefadhaishwa sana na kuhuzunishwa na kitendo cha maalim Seif Sharif Hamad ambaye amewahi kuwa kiongozi waziri kiongozi wa Zanzibar kabla ya kurejeshwa kwa siasa za ushindani kushindwa kumpa mkono Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein walipokutana kwenye msiba wa Rais wa pili wa visiwa hivyo, Aboud Jumbe.
Vuai amesema chama chake kimefadhaishwa sana na kuhuzunishwa na kitendo cha maalim Seif Sharif Hamad ambaye amewahi kuwa kiongozi waziri kiongozi wa Zanzibar kabla ya kurejeshwa kwa siasa za ushindani kushindwa kumpa mkono Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein walipokutana kwenye msiba wa Rais wa pili wa visiwa hivyo, Aboud Jumbe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment