Hatimae gwiji wa music wa taarabu MZEE
YUSUFU Ametangaza kuachana na music wa taarabu na kumrejea mungu,ametangaza
Jana ndani ya masjid Taqwah uliopo ilala bungoni,
Amewata watu wote wenye CD
zake wasipige nyimbo zake kwani ameamua kuacha music na kumreje Allah,huku
akibubujikwa na machozi amewataka waumini na waislam kumuombea kwa mungu
amsamehe dhambi zake.
Ikumbukwe Mzee Yusuf ndio alikuw akiongozi wa kikundi cha Jahazi katika kipindi chote cha uimbaji wake pia amepitia katika hatua nyingiza maisha ya kawaida kama mpiga gitaa, ngoma , muimbaji na hata mtingaji wa nyimbo za taarabu.
No comments:
Post a Comment