Monday, 15 August 2016

LUKUVI ATOA MPANGO MPYA WA SERIKALI


Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema kuwa Serikali iko kwenye mpango wa kuanzisha Mamlaka ya Udhibiti wa Makazi, itakayodhiti pia kodi za nyumba za kupanga.
- Pia amesema Serikali imepanga kurasimisha sekta ya udalali wa nyumba na makazi ili kumaliza tatizo la madalali matapeli

No comments:

Post a Comment