TABIA 8 ZINAZOUA NDOTO NA MAFANIKIO YA WATU WENGI.*
1. Kuahirisha.
2. Uvivu.
3. Kukata tamaa mapema.
4. Visingizio.
5. Mawazo hasi.
6. Matumizi mabaya ya pesa.
7. Kuridhika.
8. Ulevi kwenye mitandao ya kijamii.
*MAMBO MATATU MUHIMU KUKUFANIKISHA MAISHANI*
1. Maarifa (Knowledge)
Je unafahamu nini? Kwa kiasi gani? Hicho unachofahamu kinakufaidishaje wewe na wanaokuzunguka?
2. Maamuzi sahihi (Right decisions)
Kuwa makini sana na maamuzi unayoyafanya maana yanaweza kuijenga au kuibomoa leo na kesho yako.
3. Nafsi isiyo na ubinafsi (Unselfish mind)
Ukiwafungulia wengine milango na yako itafunguliwa, ukiwafungia na yako itafungwa kabisa. Wajali watu
*MASWALI MATANO (5) YAKUJIULZA AMBAYO YANAWEZA KUBADILISHA MAISHA YAKO*
1. Mimi ni nani?
2. Nimetokea wapi?
3. Naelekea wapi?
4. Nimefika wapi?
5. Natakiwa nifanye nini?
Safari ya maisha kuelekea Mafanikio ama chochote kile unachokihitaji, huanzia katika kujitambua.
DREAM for Success Without Making Excuses in Your Lif
e!!
No comments:
Post a Comment