Thursday, 18 August 2016

KIBONDO WAANDAMANA KUJUA KWANN KUNA MAUAJI HOLELA

Mamia ya wakazi wa mji wa kibondo mkoani Kigoma wameandamana kwenda Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kibondo wakipinga kukithiri kwa mauaji yanayoendelea kutokea katika maeneo mbalimbali yakiwahusisha waendesha pikipiki na watu wengine.

No comments:

Post a Comment