Tuesday, 16 August 2016

VIJANA WAZUIA GARI LA JESHI KUBEBA JENEZA

VIJANA WAZUIA GARI LA JESHI KUBEBA JENEZA LA JUMBE
Maziko ya Rais wa Pili wa Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (96) aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam yalifanyika jana nyumbani kwake Migombani, Zanzibar huku vijana wakikataa gari la Jeshi kubeba

No comments:

Post a Comment