Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeanzisha utaratibu wa kufungua clabu za
wanafunzi wa kodi vyuoni ili kurahisisha utoaji na upatikanaji wa elimu
kwa mlipakodi katika jamii.
Akizungumza na wanafunzi wa Chuo kikuu
cha mzumbe mkoani Morogoro Mkurugenzi huduma na elimu kwa mlipakodi
Bwana Richard Kayombo ameeleza lengo la kuanzisha clabu hizo ni kutaka
kuwajenga wanafunzi kuwa na misingi ya ulipaji kodi.
https://www.facebook.com/itvtz/videos/972578022853172/
No comments:
Post a Comment