Mwanamke mjamzito nchini Kenya amejiunguza na moto mwili mzima baada ya kugombana na mumewe kisa wivu wa mapenzi.
Mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Cythia Njoki (28) ambaye hali
yake bado ni mbaya amesema kuwa ameamua kufanya hivyo kwa hasira baada
ya kugundua kuwa mumewe anamahusiano na mwanamke mwingine.
No comments:
Post a Comment