Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania KKKT Dakta FREDRICK SHOO ameiomba serikali kudhibiti
viashiria vya uvunjifu wa amani ambavyo vimeanza kujitokeza miongoni mwa vyama
vya kisiasa kwa kuwa watakaoathirika ni watanzania wasio na hatia.
No comments:
Post a Comment