Tuesday, 16 August 2016

KIGOMA YANASA WATANO KWA VYETI BANDIA

Polisi mkoani Kigoma imewakamata watu watano akiwemo askari wa JWTZ kwa tuhuma za kutengeneza vyeti bandia vya taaluma mbalimbali.

No comments:

Post a Comment