Picha
inayomuonyesha Maalim Seif Sharrif Hamad akiwa ameinama mikono ikiwa
tumboni, huku Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein akiwa amenyoosha
mkono kuashiria kutaka kusalimiana na katibu huyo mkuu wa CUF, sasa
imekuwa moto mtandaoni.
Picha hiyo ilichukuliwa wakati wa
shughuli za mazishi ya Rais wa Pili wa Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi
kisiwani humo mapema wiki hii, na sasa inaigizwa na watu wa kariba
tofauti wanaotuma mitandao
ni picha inayofanana na tukio hilo.
No comments:
Post a Comment