Mfanyakazi mmoja wa nyumba ya kulala wageni inayo julikana kama TEEN
iliyoko mtaa wa Mbezi kati Jijini Dar es Salaam amekamatwa na Bibi afya
kwa kosa la kuendesha nyumba ya kulala wageni katika mazingira machafu
huku mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo Bwana Abel Alex akisema wakazi
wanaoishi jirani na nyumba hiyo ya kulala wageni wamekuwa wakilalamikia
nyumba hiyo kuendesha shughuli zake katika mazingira machafu hali ambayo
imesababisha nyumba hiyo ya wageni kufungwa itakapo kidhi viwango vya
usafi.
https://www.facebook.com/itvtz/videos/963139393797035/
No comments:
Post a Comment