Baraza la
Wawakilishi Zanzibar (BLW), linatarajia kufanya mageuzi katika mfumo wa
utungaji sheria kwa kuwashirikisha wananchi badala ya wajumbe pekee.
Mkuu wa Utawala na Rasilimali Watu wa BLW, Amour Mohamed Amour amesema
mjini Unguja jana kuwa mfumo wa utungaji sheria unahitaji mabadiliko.
No comments:
Post a Comment