Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi, Dk
Stephen Nindi ameitaka Serikali kulinda mpango miji (MasterPlan) ya
Dodoma kwa kuwa ipo katika teknolojia ya hali ya juu.
Dk Nindi
alitoa wito katika warsha ya Mradi wa Utafiti wa Kukua kwa Vijiji kuwa
miji midogo unaoendeshwa na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (Sua) kwa
kushirikiana na Chuo Kikuu cha Copenhagen.
No comments:
Post a Comment