Nifanye nini ili niwe mwenye furaha katika ndoa yangu kama ilivyo kwa Baba na Mama ?
hakikisha unafanya mambo haya matatu.
(1) Mhifadhi mume wako, atakuwa na madhaifu mengi hayo kaa nayo na
usiruhusu mtu mwingine kuyajua, tangaza mazuri yake kil akipita watu
wamfurahie.
(2) Usimuombe mume wako kitu ambacho una uhakika kuwa hana uwezo wa kukupa. Ficha tamaa zako za mambo makubwa yanayozidi uwezo wake.
(3) Ongea na zika makosa yote ya awali. Akikukosea usikae na kitu rohoni, muambie kisha fukia yale yote aliyokukosea, usipande kitandani kabla ya kumsamehe na usikumbushie kosa la awali kila mara anapokosea.

No comments:
Post a Comment