Saturday, 13 August 2016

WAZEE WAOMBA KUINGIZWA KATIKA MPANGO WA BIMA

Wazee wa kambi ya Njoro Moshi waomba kuingizwa kwenye mpango wa Bima ya Afya.

Wazee hao wamekuwa wakilalamika kila kukicha pasina mafanikio ndio sasa wameamua kupaza sauti zao kuwa hawajawekwa ktk mpango huo mpaka sasa

No comments:

Post a Comment