Serikali
kutoa ramani mpya ya jiji la Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka huu
itakayolifanya kuwa jiji la kibiashara na kuruhusu ujenzi wa maghorofa makubwa
katika maeneo ya karibu na Ikulu pamoja na meneo mengine muhimu yaliyokuwa
yanamilikiwa na serikali.
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake jana waziri wa ardhi Mh. Lukuvi amesema mwanzoni walizuia majengo nmarefu karibi na Ikulu kwa muda mrefu walikataza majengo ya kuanzia rosha mbili na zaidi ila kwakuwa Serikali meamua kuhamisha makao makuu Dodoma inawalazima kuruhusu majengo marefu kujengwa karibu na ikulu na pembezuni mwa bahari ili kuimarisha biashara zaidi jijini
Maneno hayo yameenda sanjari na yale ya Mh. Rais wa Tanzania Dk. J. P. Magufuli ya kutoiuza ikulu bali itakuwa kama jumba la maonyesho kwa vizazi vijavyo.
No comments:
Post a Comment