Thursday, 18 August 2016

MWENYEKITI WA PAROLE ATOA TAMKO

Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Agustine Mrema ameliomba Jeshi la Polisi mkoa wa Dar es Salaam kuwachukulia hatua kali baadhi ya watu wanaowanyanyasa na kuwabambikia kesi wananchi kwa mgongo wa Polisi Jamii.

No comments:

Post a Comment