Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo,
Agnes Mkandya amemwaga machozi alipokuwa akiulizwa maswali na Kamati ya
Bunge.
- Alikuwa akihojiwa kuhusu udanganyifu na ubadhirifu wa
fedha mkubwa unaoonekana kufanywa na baadhi ya watumishi wa Halmashauri
hiyo.
No comments:
Post a Comment