Tundu Lissu, ambaye ni wakili wa Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya
amepangua maombi ya wananchi wanne wanaopinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu
yaliyompa ushindi mteja wake.
Kesi hiyo imeanza kusikilizwa tena
baada ya Mahakama ya Rufaa kufuta uamuzi wa Mahakama Kuu uliotupilia
mbali hoja za kupinga matokeo hayo, ambazo ziliwasilishwa na wafuasi
wanne wa aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo, Steven Wasira (CCM).
No comments:
Post a Comment