Tuesday, 16 August 2016

POLISI WAMZUIA MBUNGE TANGA ASIFANYE MKUTANO



. Jeshi la Polisi wilayani hapa limemzuia Mbunge wa Tanga, Mussa Mbarouk kupitia CUF kufanya mikutano ya hadhara kwa muda usiojulikana kutokana na kile ilichoeleza kwamba inaweza kuhatarisha amani.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Tanga, Leonard Paulo amesema hayo leo alipokuwa akizungumza na Mwananchi


No comments:

Post a Comment