Thursday, 18 August 2016

KAULI YA KUFYATUA WATOTO YACHUKUA SURA MPYAAAA

Wazazi wagombana kila kukicha kisa wanataka watt na wengine waki pinga kuzalishwa kama panya.
haya yametokea mkoan Pwan kw abw. mmoja ambaye jina lake lkimehifadhiwa kwa tamaduni zetu baada ya kumfukuza mke wake kisa hataki kuongeza watt kisa maisha magumu huku mama huyo akisema watt walionao 5 wanatosha kwan hali ya maisha ni ngy sana

No comments:

Post a Comment