WATANZANIA WATEKWA NA KUUWAWA MTO KAGERA WAKIVUA..
, KAGERA-:KYERWA
Watanzania 9 wametekwa kisha kuuawa wakiwa wanavua
katika mto Kagera na watu wanaodhaniwa ni askari kutoka Rwanda.
- Waziri Mwigulu asema atalifuatilia suala hilo na kulitolea maamuzi.
No comments:
Post a Comment