Saturday, 13 August 2016

ALMAZ AYANA WA ETHIOPIA ANYAKUA ZAHABU RIADHA MITA 10000


Mwanadada Almaz Ayana raia wa Ethiopia ameshinda medali ya dhahabu ya Michezo ya Olimpiki kwa mbio za mita 10000. Na kuweka rekodi mpya kwa upande wa wanawake.

- Tanzania imepotea kwenye ramani ya riadha licha ya kuvuma enzi za Filbert Bayi na Juma Ikangaa.

Je, nini kinasababisha kudorora kwa mchezo wa riadha nchini?

No comments:

Post a Comment