Saturday, 13 August 2016

AJALI YA NDEGE YAUA SITA AMERIKA SASA HIVI

MAREKANI: Takribani watu 6 wamefariki katika ajali ya ndege ndogo illiyoangukia kwenye miti na kuwaka moto ilipokuwa ikitua uwanja wa Shannon.
- Ajali hiyo imetokea jimbo la Virginia na mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana.

No comments:

Post a Comment