Waziri na Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo ameonya zoezi la
ugawaji wa mabaki ya dhahabu(Magwangala) kwani yana sumu ya Zebaki,
inahitaji umakini wakati wa kuyagawa.
- Angalizo hili ni kufuatia kauli ya Rais John Pombe Magufuli kutaka Magwangala kugawiwa kwa wachimbaji wadogo.
No comments:
Post a Comment