Mkuu wa wilaya ya Kishapu Bi.Nyabaganga Daudi Taraba amelazimika kuunda
utaratibu maalum utakaowawezesha wafugaji katika wilaya hiyo kufuga
ufugaji wenye tija na kuepuka ufugaji holela unaosababisha migogoro kati
ya wafugaji na wakulima huku akiwataka kuvuna mifugo yao na kuelekeza
fedha katika shughuli zingine za kimaendeleo ikiwemo kusomesha watoto
No comments:
Post a Comment