ARUSHA: Mwenyekiti wa kijiji cha Chokaa, Thomas Molel ameuawa kwa
kupigwa risasi kwa sababu zinazodaiwa kuwa ni uhasama wa kisiasa.
- Msemaji Mkuu wa CCM Christopher Olesendeka amesema kuwa CCM
haitaendelea kuvumilia matendo hayo lazima hatua kali zichukuliwe bila
kujali kuwa wauaji watakuwa ni wanachama wa CCM au chama kingine
No comments:
Post a Comment