Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu wa Bunge, Kazi, Ajira, Vijana
na Walemavu, Jenista Mhagama amesema suala la bajeti ya kuhamishia makao
makuu ya Serikali kutoka Dar es Salaam litatatuliwa kwa kutumia posho
za safari za mawaziri.
Akizungumza juzi katika kipindi cha Safari
ya Dodoma kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Shirika la
Utangazaji la Taifa (TBC), Mhagama alisema suala la bajeti wanalijua
wenye
we serikalini.
No comments:
Post a Comment