Thursday, 18 August 2016

WAENDESHA DALADALA SHINYANGA WAMVAA MKUU WA MKOA

Shinyanga: Waendesha baiskeli za kubeba abiria maarufu (daladala) mjini hapa, wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Telack kuwathibitishia kama hawataendelea na kazi ya kubeba abiria.
Awali, Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, Rewis Kalinjuna ametoa siku saba kwa daladala hizo kuacha kubeba abiria.

No comments:

Post a Comment