Tuesday, 30 August 2016

WALIMU WA 3 WASIMAMISHWA KAZI KAGERA

Walimu watatu Kagera wasimamishwa kazi kwa tuhuma za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi ambapo miongoni mwao wamebeba ujauzito na kukatisha masomo

No comments:

Post a Comment