Tanzania imeendeleza mpango wake wakupambana na maambukizi mapya ya ukimwi kwa kuwataka wanawake wawe wanaenda klinki na waume zao kila wanapo hudhuria klinki kwa ajili ya kujua hali ya mama mjamzito na mtt anaetarajiwa kuzaliwa.
Hali hiyo itasaidia wale wenye kuchepuka kuwa wangalifu kwani hawata weza kutembea na wake wasio kuwa wakwao
No comments:
Post a Comment