Saturday, 13 August 2016

DONALD TRUMP NJIAPANDA IKULU

MAREKANI: Vigogo 70 wa chama cha Republican wamesaini barua ya wazi kutaka kamati ya chama kutomfadhili mgombea urais, Donald Trump
- Wamemshtumu Trump kwa kauli zenye kuligawa taifa na zenye kiburi ndani yake

No comments:

Post a Comment