Afrika Kusini imechukua nafasi ya 1 kwa uchumi unaoongoza Afrika baada ya Nigeria kushikilia nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka 2.
- Kikubwa kilichosababisha ni kuwa katika kipindi cha mwaka huu hadi sasa, Randi ya Afrika kusini imeimarika dhidi ya dola ya Marekani
-Nigeria ndio iliyokuwa inashikilia nafasi hiyo kwa miaka miwili sasa ila naira yao imeporomoka dhidi ya dola ya Marekani.
No comments:
Post a Comment