Friday, 19 August 2016

DAGAA INAWATOA WENGI MWANZA KTK UMASIKINI


**Ni samaki wadogo lakini wenye umaarufu mkubwa siyo tu nchini, bali hata nje ya mipaka ya Tanzania.
Samaki hawa ni dagaa au Omena kama wanavyojulikana nchi jirani ya Kenya.
Kwa wakazi wa maeneo ya mwambao, neno dagaa siyo geni kwa sababu ni kati ya kitoweo kinachopatikana kirahisi na kwa bei nafuu.
Miaka ya nyuma, samaki hawa wanaovuliwa nyakati za usiku kwa kutumia mwanga wa taa za karabai walikuwa wakitumika nchini pekee.

Dagaa hao wamekuwa wakiuzwa mikoa ya yotenchini na nje ya nchi kama DRC, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda hata Sudan na kwingineko, haya yamesemwa na Mkuu wa mkoa huyo
Pia wafanya biashara nao wamedhibitisha hayo

No comments:

Post a Comment