Saturday, 20 August 2016

MFANYA BIASHARA AMEJIUA KWA KUJILIPUA NA PETROL KWAKE

Mfanyabiashara wa mjini Moshi, Romani Shirima (74), amejiua kwa kujilipua kwa petroli nje ya nyumba yake.
- Habari kutoka kwa mashuhuda wa tukio hilo zinasema mfanyabiashara huyo alijifunika kwa blanketi, kisha kujimwagia petroli na kutumia kibiriti kuwasha moto ambao ulimlipua na kusababisha kifo chake.

No comments:

Post a Comment