Naibu
waziri wa Nishati na Madini Dkt.Medadi Kalemani amempa wiki mbili
mkandarasi wa kampuni ya Sengerema Engeneering Group kuhahakisha
anamaliza kuunganisha umeme katika vijiji vitano vya kata Nyaruhande
wilayani Busega mkoani Simiyu kufuatia mradi huo kuonekana kusuasua.
No comments:
Post a Comment