Thursday, 18 August 2016

ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUKWEPA DENI LA MAHARI YA MKE WAKE

UGANDA: Baba mkwe amjeruhi kwa panga kichwani mkwe wake baada ya kushindwa kumalizia deni la mahari la takribani Shilingi 250,000.

- Baba Mkwe adai alikuwa akimkwepa wakati akijua kuwa anadaiwa mahari hiyo  "kila mara nilikuwa namwita aje aniniletee pesa yangu lakini hakuleta sas ndio nikachukua uamuzi wa kumpiga" asema baba mkwe.


No comments:

Post a Comment