Haka katabia ka dada zetu ka kugawa tigo kameshamiri sana maeneo mengi.
Na wengine wanajisifia kabisa eti wanaume wa siku hizi ukitaka uwakamate
sharti uwape tigo na wengine unakuta wameolewa na wanafanya hivyo ili
kuwakamata waume zao.
Hivi kweli mnaamua wenyewe au waume zenu wanawalazimisha na kama
mnalazishwa kwa nini hamkatai?? Imagine mdada anafanya hivyo vitendo
halafu anakuja kuolewa na mtu ambaye hafanyi hivyo. Mimi naamini kuna
mambo mengi unaweza ukamfanyia mpenzi na akafurahi bila hata kugawa
tigo.
Je mnajua madhara yake kwa pande zote mbili?? Na wanaume tuache hii
tabia ya kuwalazimisha dada zetu kwa kuwashawishi na pesa,magari n.k.
Ukimfanyia mke/mchumba wako vitu hivyo jua tu lazima atakusaliti.
Tubadilike jamani sio kila kitu ni cha kuiga,mambo ya wazungu
tusiyaingize kwenye tamaduni zetu ni laana. Wadada kueni na msimamo la
sivyo mtaharibiwa mshindwe kuishi kwa raha maisha yenu yote.
No comments:
Post a Comment