ZAMBIA KUMJUA MSHINDI LEO USIKU AU MAPEMA KESHO JUMAPILI
Tume ya Uchaguzi Nchini Zambia
inatarajia kutangaza matokeo jumla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na
wawakilishi wa mabaraza ya miji leo usiku au mapema kesho Jumapili.
Kauli hiyo imetolewa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zambia
No comments:
Post a Comment