Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 18 Agosti, 2016
amekutana na katibu mkuu wa jumuiya hiyo Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu
Jijini Dar es Salaam na kumsihi ahakikishe jumuiya inajielekeza
kukabiliana na matatizo ya wananchi na kupunguza matumizi ya fedha
yasiyo ya lazima.
https://www.facebook.com/itvtz/videos/963423127101995/
No comments:
Post a Comment