Mtendaji wa mtaa wa Nyakabale na Manga amesimamishwa kazi baada ya
kushindwa kuwatumikia wananchi kwa mujibu wa taratibu za uongozi
unavyotaka na kusababisha wananchi kusaini fomu feki zinazowataka
kuchukuliwa maeneo yao bila ridhaa yao.
https://www.facebook.com/itvtz/videos/962076943903280/
No comments:
Post a Comment