Saturday, 20 August 2016

MSANII MKONGWE WA TAARABU AFARIKI DUNIA

TANZIA: Msanii mkongwe wa muziki wa Taarab, Bi. Shakila Said amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Temeke jijini Dar.

No comments:

Post a Comment