Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo (kulia) akimsikiliza
mkazi wa Kwamgwe Handeni Vijijini mkoani Tanga, Rajab Juma alipokuwa
akielezea mwitikio mdogo wa elimu juu ya mradi wa umeme vijijini kwa
wananchi na kutojua ofisi za malipo zilipo, aliyodai ni chanzo cha
wateja kujitokeza wachache. Picha na Suma Juma
No comments:
Post a Comment