Tuesday, 16 August 2016

MVUTANO BUNGENI: Ukawa wampa Ndugai hoja sita yaishe
Wakati Spika Job Ndugai akionyesha nia ya kumaliza msimamo wa wabunge wa upinzani kususia vikao vinavyoendeshwa na naibu wake, kiongozi wa upinzani bungeni, atalazimika kujiandaa kukabiliana na hoja sita.

No comments:

Post a Comment